LATEST ARTICLES
 
tlc-nyc

TLC watembeza bakuli kukusanya fedha kurekodi album ya mwisho, zaidi ya $200,000 zachangwa

by Bongo5 Editoron January 25, 2015 - 7:00 pm
Ikiwa ni siku sita tu tangu waanzishe kampeni yao waliyoipa jina, Kickstarter, kundi la TLC limekusanya zaidi ya dola $200,000. T-Boz na Chilli walianzisha kampeni hiyo ili kuchangisha $150,000 kwaajili ya kurekodi album yao ya...

weezy-birdman

Lil Wayne apanga kumpeleka Birdman mahakamani

by Bongo5 Editoron January 25, 2015 - 6:34 pm
Lil Wayne na Birdman wapo vitani rasmi. Wayne anadaiwa kuwa na mpango wa kumpeleka bosi wake mahakamani baada ya njia za kawaida kumaliza tofauti zao kushindikana. Mtandao wa TMZ umedai kuwa wawili hao walijaribu kuyamaliza kif...

dreamz_ukweli[1]

New Music: Dreamz – Ukweli

by Rama Nnauyeon January 24, 2015 - 3:00 pm
Wimbo mpya kutoka kwa msanii Dreamz wimbo unaitwa “Ukweli” Stidio Green Record Add a comment comments

U-1

Picha: Fainali za Miss Universe 2014 kufanyika Jumapili (Jan 25) Miami, Marekani

by Sandu Georgeon January 24, 2015 - 2:43 pm
Fainali za mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Universe 2014 zinatarajiwa kufanyika Jumapili (Jan 25) huko Miami, Marekani. Add a comment comments

H.Baba na mwanae Tanzanite

H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 1:44 pm
H.Baba hataki mchezo. Muimbaji huyo wa mtindo alioupa jina ‘Bongo Bolingo Flava’, amesema mwanae wa kike, Tanzanite ana meneja wake anayejitegemea. H.Baba na mwanae Tanzanite Akizungumza jana kwenye kipindi cha The ...

IMG-20150123-WA0010

Malaika wa ‘Uswazi Take Away’ awataka wasanii wa kike kuiga mfano wa Vanessa Mdee

by Rama Nnauyeon January 24, 2015 - 1:32 pm
Muimbaji aliyewahi kushirikishwa na Chege kwenye wimbo wake ‘Uswazi Take Away’, Diana Malaika amewataka waimbaji wenzake wa kike nchini Add a comment comments

10895477_1405156923112795_1511814733_n

Linex na Empty Soulz kumtoa msanii mwenye ulemavu wa viungo

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 1:03 pm
Linex Sunday Mjeda akishirikiana kampuni ya Empty Soulz wameandaa mpango maalum wa kumsaidia mlemavu wa viungo aitwae ‘AZ’ Mlemavu wa viungo aitwae AZ akiwa na Linex kwa nyuma Linex ameiambia Bongo5 kuwa wamesitisha...

MARIMBA CHART LOGO

MMC: Top 20 ya Marimba Music Chart wiki hii (24/01/15)

by Sandu Georgeon January 24, 2015 - 12:52 pm
Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania. HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI...

wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg

Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?

by Fred Bundalaon January 24, 2015 - 12:46 pm
Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground wengine wa muziki walivyo na hasira ya kutoka. Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za Kitanzania), Diamond alikuwa ...

Yamoto2-11

New Video: Yamoto Band ~ Nitakupwelepweta

by Rama Nnauyeon January 24, 2015 - 12:05 pm
Yamoto Band hii ni video yao mpya ya wimbo “Nitakupwelepweta” video imeongozwa na Adam Juma Add a comment comments

KalaPina-620x350

Kalapina adai akiwa mbunge hatosita kutoa kichapo kwa wenzie watakaomletea upuuzi

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 10:44 am
Rapper Kalapina ambaye anatarajia kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuusaka ubunge wa jimbo la Kinondoni, amesema kuwa akipata fursa hiyo hatosita kusambaza kichapo kwa wabunge wenzie pindi wanapokuwa na malumbano ndani y...

10919586_774325442655896_866572755_n

Shetta: Naifurahia sana ndoa yangu ya zaidi ya miaka miwili

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 10:36 am
Shetta na mke wake Leila wametimiza zaidi ya miaka miwili kwenye ndoa yao na rapper huyo amedai kuwa ni furaha tu ndio iliyotawala familia yake. Shetta na Leila walifunga ndoa mwaka 2012 na hadi sasa wamebarikiwa mtoto mmoja wa...

Aqe9TAvuFR67Xaa-PrgG6SlG8GH0grnatYXc_n5hYymr

Adam Mchomvu kuzindua video yake mpya Jumapili hii Club Bilz

by Bongo5 Editoron January 23, 2015 - 6:21 pm
Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL na Bongo Flava vya Clouds FM ambaye pia ni rapper, Adam Mchomvu atazindua video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Tiririka’ Jumapili hii. Uzinduzi huo utafanyika kama sehemu ya tamasha ...

IMG-20150122-WA0046

New Music: Afromaniac Ft. Raymond – Waombe Po

by Rama Nnauyeon January 23, 2015 - 6:07 pm
Wimbo mpya kuoka kwa msanii Afromaniac akimshirikisha Raymond wimbo unaitwa “Waombe Po” Add a comment comments

10675689_377000959122274_8099944874612998446_n

New Video: Atlas Da African f/ Lilian Mbabazi – New Day

by Bongo5 Editoron January 23, 2015 - 5:59 pm
The most anticipated hip hop video in Uganda is finally out. Check out ‘NEW DAY’ by Atlas Da African ft. Lilian Mbabazi. Directed by Sasha Vybes. The video is arguably the most expensive hiphop video in Uganda. Add ...

10881878_10153130375353313_7587494685981783552_n

New Video: Bebe Cool – Everywhere I Go

by Bongo5 Editoron January 23, 2015 - 5:23 pm
Video ya wimbo mpya Bebe Cool, Everywhere I Go kutoka kwenye album yake, Go Mama Album 2015. Video imeongozwa na God Productions. Add a comment comments

idris house

Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

by Sandu Georgeon January 23, 2015 - 2:25 pm
Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu. Add a comment comments

Kevin3

Director Kevin Bosco wa Kenya: Hanscana is the director to watch, trust me

by Sandu Georgeon January 23, 2015 - 12:58 pm
Director Kevin Bosco Jnr aliyeongoza video mpya ya Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ na zingine kibao, amemtabiria makubwa director mpya wa Bongo ambaye ameanza kuonesha dalili njema kupitia video chache alizofanya ikiwemo WCD ya kina Va...